Marko 5:31
Mark 5:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanafunzi wake wakamjibu, “Unaona jinsi umati wa watu unavyokusonga. Wawezaje kuuliza, ‘Ni nani aliyenigusa?’ ”
Mark 5:31 in English
Mark 5:31 · Berean Standard Bible
His disciples answered, “You can see the crowd pressing in on You, and yet You ask, ‘Who touched Me?’”
Context
29Mara kutoka damu kwake kukakoma, naye akajisikia mwilini mwake amepona kabisa. 30Ghafula Yesu akatambua kuwa nguvu zimemtoka. Akaugeukia ule umati wa watu na kuuliza, “Ni nani aliyegusa mavazi yangu?” 31Wanafunzi wake wakamjibu, “Unaona jinsi umati wa watu unavyokusonga. Wawezaje kuuliza, ‘Ni nani aliyenigusa?’ ” 32Lakini Yesu akaangalia pande zote ili aone ni nani aliyemgusa. 33Yule mwanamke, akijua kilichomtokea, akaja, akaanguka miguuni pake akitetemeka kwa hofu, akamweleza ukweli wote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.