Marko 5:30
Mark 5:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ghafula Yesu akatambua kuwa nguvu zimemtoka. Akaugeukia ule umati wa watu na kuuliza, “Ni nani aliyegusa mavazi yangu?”
Mark 5:30 in English
Mark 5:30 · Berean Standard Bible
At once Jesus was aware that power had gone out from Him. Turning to the crowd, He asked, “Who touched My garments?”
Context
28kwa maana alisema moyoni mwake, “Kama nikiweza kuligusa vazi lake tu, nitaponywa.” 29Mara kutoka damu kwake kukakoma, naye akajisikia mwilini mwake amepona kabisa. 30Ghafula Yesu akatambua kuwa nguvu zimemtoka. Akaugeukia ule umati wa watu na kuuliza, “Ni nani aliyegusa mavazi yangu?” 31Wanafunzi wake wakamjibu, “Unaona jinsi umati wa watu unavyokusonga. Wawezaje kuuliza, ‘Ni nani aliyenigusa?’ ” 32Lakini Yesu akaangalia pande zote ili aone ni nani aliyemgusa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.