Native Bible

Mark 5:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakafika upande wa pili wa ziwa wakaingia katika nchi ya Wagerasi.

Mark 5:1 in English

Mark 5:1 · Berean Standard Bible

On the other side of the sea, they arrived in the region of the Gerasenes.*

Context

1Wakafika upande wa pili wa ziwa wakaingia katika nchi ya Wagerasi. 2Yesu alipotoka kwenye mashua, mara mtu mmoja mwenye pepo mchafu akatoka makaburini akakutana naye. 3Mtu huyu aliishi makaburini, wala hakuna aliyeweza kumzuia hata kwa kumfunga minyororo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.