Native Bible

Mark 4:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Udongo huifanya iote kuwa mche, halafu suke, kisha nafaka kamili kwenye suke.

Mark 4:28 in English

Mark 4:28 · Berean Standard Bible

All by itself the earth produces a crop—first the stalk, then the head, then grain that ripens within.

Context

26Pia akawaambia, “Ufalme wa Mungu unafanana na mtu apandaye mbegu shambani. 27Akiisha kuzipanda, usiku na mchana, akiwa amelala au ameamka, mbegu huota na kukua pasipo yeye kujua ikuavyo. 28Udongo huifanya iote kuwa mche, halafu suke, kisha nafaka kamili kwenye suke. 29Lakini nafaka inapokuwa imekomaa, mara mkulima huingia shambani na mundu wa kuvunia, maana mavuno yamekuwa tayari.” 30Akawaambia tena, “Tuufananishe Ufalme wa Mungu na nini? Au tutumie mfano gani ili kuueleza?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.