Marko 15:38
Mark 15:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili kuanzia juu hadi chini.
Mark 15:38 in English
Mark 15:38 · Berean Standard Bible
And the veil of the temple was torn in two from top to bottom.
Context
36Mtu mmoja akaenda mbio, akachovya sifongo kwenye siki, akaiweka kwenye mwanzi na akampa Yesu ili anywe, akisema, “Basi mwacheni. Hebu tuone kama Eliya atakuja kumshusha kutoka hapo msalabani.” 37Kisha Yesu akatoa sauti kuu, akakata roho. 38Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili kuanzia juu hadi chini. 39Basi yule jemadari aliyekuwa amesimama hapo mbele ya msalaba wa Yesu aliposikia ile sauti yake na kuona jinsi alivyokata roho, akasema, “Hakika mtu huyu alikuwa Mwana wa Mungu!” 40Walikuwepo pia wanawake waliokuwa wakiangalia kwa mbali. Miongoni mwao walikuwepo Maria Magdalene, na Maria mama yao Yakobo mdogo na Yose, pia na Salome.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.