Marko 15:2
Mark 15:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pilato akamuuliza, “Je, wewe ndiye Mfalme wa Wayahudi?” Yesu akajibu, “Wewe umesema.”
Mark 15:2 in English
Mark 15:2 · Berean Standard Bible
So Pilate questioned Him, “Are You the King of the Jews?” “You have said so,” Jesus replied.
Context
1Asubuhi na mapema, viongozi wa makuhani, pamoja na wazee, walimu wa sheria na Baraza lote, wakafikia uamuzi. Wakamfunga Yesu, wakamchukua na kumkabidhi kwa Pilato. 2Pilato akamuuliza, “Je, wewe ndiye Mfalme wa Wayahudi?”
Yesu akajibu, “Wewe umesema.” 3Viongozi wa makuhani wakamshtaki kwa mambo mengi. 4Pilato akamuuliza tena, “Je, huna la kujibu? Tazama ni mashtaka mangapi wanayaleta juu yako.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.