Marko 14:66
Mark 14:66 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Petro alipokuwa bado yuko chini kwenye ua wa jumba la kifalme, tazama akaja mmoja wa watumishi wa kike wa kuhani mkuu.
Mark 14:66 in English
Mark 14:66 · Berean Standard Bible
While Peter was in the courtyard below, one of the servant girls of the high priest came down
Context
64Ninyi mmesikia hayo makufuru. Uamuzi wenu ni gani?”
Wote wakamhukumu kwamba anastahili kifo. 65Kisha baadhi ya watu wakaanza kumtemea mate; wakamfunga kitambaa machoni, wakampiga kwa ngumi na kumwambia, “Tabiri!” Walinzi wakamchukua na kumpiga makofi. 66Petro alipokuwa bado yuko chini kwenye ua wa jumba la kifalme, tazama akaja mmoja wa watumishi wa kike wa kuhani mkuu. 67Alipomwona Petro akiota moto, akamtazama sana, akamwambia,
“Wewe pia ulikuwa pamoja na Yesu, Mnazareti.” 68Lakini Petro akakana, akasema, “Sijui wala sielewi unalosema.” Naye akaondoka kuelekea kwenye njia ya kuingilia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.