Native Bible

Mark 14:52 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

alikimbia uchi, akaliacha vazi lake.

Mark 14:52 in English

Mark 14:52 · Berean Standard Bible

but he pulled free of the linen cloth and ran away naked.

Context

50Ndipo wanafunzi wake wote wakamwacha, wakakimbia. 51Kijana mmoja, ambaye hakuwa amevaa kitu isipokuwa alijitanda nguo ya kitani, alikuwa akimfuata Yesu. Walipomkamata, 52alikimbia uchi, akaliacha vazi lake. 53Wakampeleka Yesu kwa kuhani mkuu, nao viongozi wa makuhani wote, na wazee na walimu wa sheria wote wakakusanyika pamoja. 54Petro akamfuata kwa mbali, hadi uani kwa kuhani mkuu. Huko akaketi pamoja na walinzi, akiota moto.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.