Marko 14:50
Mark 14:50 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo wanafunzi wake wote wakamwacha, wakakimbia.
Mark 14:50 in English
Mark 14:50 · Berean Standard Bible
Then everyone deserted Him and fled.
Context
48Kisha Yesu akawaambia, “Mmekuja na panga na marungu kunikamata kana kwamba mimi ni mnyangʼanyi? 49Siku kwa siku nilikuwa pamoja nanyi nikifundisha Hekaluni, wala hamkunikamata. Lakini Maandiko sharti yatimie.” 50Ndipo wanafunzi wake wote wakamwacha, wakakimbia. 51Kijana mmoja, ambaye hakuwa amevaa kitu isipokuwa alijitanda nguo ya kitani, alikuwa akimfuata Yesu. Walipomkamata, 52alikimbia uchi, akaliacha vazi lake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.