Marko 14:17
Mark 14:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ilipofika jioni, Yesu akaja pamoja na wale wanafunzi wake kumi na wawili.
Mark 14:17 in English
Mark 14:17 · Berean Standard Bible
When evening came, Jesus arrived with the Twelve.
Context
15Atawaonyesha chumba kikubwa ghorofani, kilichopambwa tena kilicho tayari. Tuandalieni humo.” 16Wale wanafunzi wakaondoka na kwenda mjini, nao wakakuta kila kitu kama Yesu alivyowaambia. Hivyo wakaiandaa Pasaka. 17Ilipofika jioni, Yesu akaja pamoja na wale wanafunzi wake kumi na wawili. 18Walipoketi mezani wakila, Yesu akawaambia, “Amin, nawaambia, mmoja wenu atanisaliti, mmoja anayekula pamoja nami.” 19Wakaanza kuhuzunika na kumuuliza mmoja baada ya mwingine, “Je, ni mimi Bwana?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.