Native Bible

Mark 14:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walipoketi mezani wakila, Yesu akawaambia, “Amin, nawaambia, mmoja wenu atanisaliti, mmoja anayekula pamoja nami.”

Mark 14:18 in English

Mark 14:18 · Berean Standard Bible

And while they were reclining and eating, Jesus said, “Truly I tell you, one of you who is eating with Me will betray Me.”

Context

16Wale wanafunzi wakaondoka na kwenda mjini, nao wakakuta kila kitu kama Yesu alivyowaambia. Hivyo wakaiandaa Pasaka. 17Ilipofika jioni, Yesu akaja pamoja na wale wanafunzi wake kumi na wawili. 18Walipoketi mezani wakila, Yesu akawaambia, “Amin, nawaambia, mmoja wenu atanisaliti, mmoja anayekula pamoja nami.” 19Wakaanza kuhuzunika na kumuuliza mmoja baada ya mwingine, “Je, ni mimi Bwana?” 20Akawajibu, “Ni mmoja miongoni mwenu ninyi kumi na wawili, yule anayechovya mkate kwenye bakuli pamoja nami.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.