Native Bible

Mark 13:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lile ninalowaambia ninyi, nawaambia watu wote: ‘Kesheni!’ ”

Mark 13:37 in English

Mark 13:37 · Berean Standard Bible

And what I say to you, I say to everyone: Keep watch!”

Context

35“Basi kesheni kwa sababu hamjui ni lini mwenye nyumba atakaporudi: iwapo ni jioni, au ni usiku wa manane, au alfajiri awikapo jogoo, au mapambazuko. 36Kama akija ghafula, asije akawakuta mmelala. 37Lile ninalowaambia ninyi, nawaambia watu wote: ‘Kesheni!’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.