Marko 13:36
Mark 13:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama akija ghafula, asije akawakuta mmelala.
Mark 13:36 in English
Mark 13:36 · Berean Standard Bible
Otherwise, he may arrive without notice and find you sleeping.
Context
34Ni kama mtu anayesafiri. Anaiacha nyumba yake na kuwaachia watumishi wake kuiangalia, kila mtu na kazi yake, kisha akamwamuru yule bawabu aliye mlangoni akeshe. 35“Basi kesheni kwa sababu hamjui ni lini mwenye nyumba atakaporudi: iwapo ni jioni, au ni usiku wa manane, au alfajiri awikapo jogoo, au mapambazuko. 36Kama akija ghafula, asije akawakuta mmelala. 37Lile ninalowaambia ninyi, nawaambia watu wote: ‘Kesheni!’ ”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.