Native Bible

Mark 10:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”

Mark 10:9 in English

Mark 10:9 · Berean Standard Bible

Therefore what God has joined together, let man not separate.”

Context

7Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.’ 8Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena, bali mwili mmoja. 9Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.” 10Walipokuwa tena ndani ya nyumba, wanafunzi wake wakamuuliza kuhusu jambo hili. 11Akawajibu, “Mtu yeyote amwachaye mkewe na kuoa mke mwingine, anazini naye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.