Marko 10:11
Mark 10:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akawajibu, “Mtu yeyote amwachaye mkewe na kuoa mke mwingine, anazini naye.
Mark 10:11 in English
Mark 10:11 · Berean Standard Bible
So He told them, “Whoever divorces his wife and marries another woman commits adultery against her.
Context
9Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.” 10Walipokuwa tena ndani ya nyumba, wanafunzi wake wakamuuliza kuhusu jambo hili. 11Akawajibu, “Mtu yeyote amwachaye mkewe na kuoa mke mwingine, anazini naye. 12Naye mwanamke amwachaye mumewe na kuolewa na mume mwingine, anazini.” 13Watu walikuwa wakimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wake wakawakemea.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.