Native Bible

Mark 10:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena, bali mwili mmoja.

Mark 10:8 in English

Mark 10:8 · Berean Standard Bible

and the two will become one flesh.’* So they are no longer two, but one flesh.

Context

6Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mwanaume na mwanamke. 7Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.’ 8Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena, bali mwili mmoja. 9Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.” 10Walipokuwa tena ndani ya nyumba, wanafunzi wake wakamuuliza kuhusu jambo hili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.