Native Bible

Mark 10:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akawatazama, akawaambia, “Kwa mwanadamu jambo hili haliwezekani, lakini kwa Mungu sivyo. Mambo yote yanawezekana kwa Mungu.”

Mark 10:27 in English

Mark 10:27 · Berean Standard Bible

Jesus looked at them and said, “With man this is impossible, but not with God. For all things are possible with God.”

Context

25Ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko mtu tajiri* kuingia katika Ufalme wa Mungu.” 26Wanafunzi wake wakashangaa sana. Wakaulizana wao kwa wao, “Ni nani basi awezaye kuokoka?” 27Yesu akawatazama, akawaambia, “Kwa mwanadamu jambo hili haliwezekani, lakini kwa Mungu sivyo. Mambo yote yanawezekana kwa Mungu.” 28Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, tumeacha kila kitu na kukufuata wewe!” 29Yesu akasema, “Amin, nawaambia, hakuna mtu yeyote aliyeacha nyumba, ndugu wa kiume au wa kike, au mama au baba, au watoto au mashamba kwa ajili yangu na kwa ajili ya Injili,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.