Mathayo 9:31
Matthew 9:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini wao wakaenda na kueneza habari zake katika eneo lile lote.
Matthew 9:31 in English
Matthew 9:31 · Berean Standard Bible
But they went out and spread the news about Him throughout the land.
Context
29Ndipo Yesu akagusa macho yao na kusema, “Iwe kwenu sawasawa na imani yenu.” 30Macho yao yakafunguka. Yesu akawaonya vikali, akisema, “Angalieni mtu yeyote asijue kuhusu jambo hili.” 31Lakini wao wakaenda na kueneza habari zake katika eneo lile lote. 32Walipokuwa wanatoka, mtu mmoja aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu na ambaye hakuweza kuongea aliletwa kwa Yesu. 33Yule pepo mchafu alipotolewa, yule mtu aliyekuwa bubu akaongea. Ule umati wa watu ukastaajabu na kusema, “Jambo kama hili kamwe halijapata kuonekana katika Israeli.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.