Mathayo 8:2
Matthew 8:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu mmoja mwenye ukoma akaja na kupiga magoti mbele yake, akasema, “Bwana, kama ukitaka, unaweza kunitakasa.”
Matthew 8:2 in English
Matthew 8:2 · Berean Standard Bible
Suddenly a leper * came and knelt before Him, saying, “Lord, if You are willing, You can make me clean.”
Context
1Yesu aliposhuka kutoka mlimani, makutano makubwa ya watu yakamfuata. 2Mtu mmoja mwenye ukoma akaja na kupiga magoti mbele yake, akasema, “Bwana, kama ukitaka, unaweza kunitakasa.” 3Yesu akanyoosha mkono wake akamgusa yule mtu, akamwambia, “Nataka. Takasika!” Mara yule mtu akatakasika ukoma wake. 4Kisha Yesu akamwambia, “Hakikisha humwambii mtu yeyote. Lakini nenda ukajionyeshe kwa kuhani, na utoe sadaka aliyoamuru Mose, ili kuwa ushuhuda kwao.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.