Native Bible

Matthew 8:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu aliposhuka kutoka mlimani, makutano makubwa ya watu yakamfuata.

Matthew 8:1 in English

Matthew 8:1 · Berean Standard Bible

When Jesus came down from the mountain, large crowds followed Him.

Context

1Yesu aliposhuka kutoka mlimani, makutano makubwa ya watu yakamfuata. 2Mtu mmoja mwenye ukoma akaja na kupiga magoti mbele yake, akasema, “Bwana, kama ukitaka, unaweza kunitakasa.” 3Yesu akanyoosha mkono wake akamgusa yule mtu, akamwambia, “Nataka. Takasika!” Mara yule mtu akatakasika ukoma wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.