Native Bible

Matthew 5:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini ninawaambia: Wapendeni adui zenu na waombeeni wanaowatesa ninyi,

Matthew 5:44 in English

Matthew 5:44 · Berean Standard Bible

But I tell you, love your enemies and pray for those who persecute you,*

Context

42Mpe yeye akuombaye, wala usimgeuzie kisogo yeye atakaye kukukopa. 43“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Mpende jirani yako na umchukie adui yako.’ 44Lakini ninawaambia: Wapendeni adui zenu na waombeeni wanaowatesa ninyi, 45ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaangazia jua lake watu waovu na watu wema, naye huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki. 46Kama mkiwapenda tu wale wanaowapenda, mtapata thawabu gani? Je, hata watoza ushuru hawafanyi hivyo?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.