Mathayo 5:28
Matthew 5:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
Matthew 5:28 in English
Matthew 5:28 · Berean Standard Bible
But I tell you that anyone who looks at a woman to lust after her has already committed adultery with her in his heart.
Context
26Amin, nakuambia, hautatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho. 27“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Usizini.’ 28Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. 29Jicho lako la kuume likikusababisha kutenda dhambi, lingʼoe ulitupe mbali. Ni afadhali kwako kupoteza kiungo kimoja cha mwili wako kuliko mwili wako mzima ukatupwa jehanamu. 30Kama mkono wako wa kuume ukikusababisha kutenda dhambi, ukate, uutupe mbali. Ni afadhali kwako kupoteza kiungo kimoja cha mwili wako kuliko mwili wako mzima utupwe jehanamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.