Mathayo 5:27
Matthew 5:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Usizini.’
Matthew 5:27 in English
Matthew 5:27 · Berean Standard Bible
You have heard that it was said, ‘Do not commit adultery.’*
Context
25“Patana na mshtaki wako upesi wakati uwapo njiani pamoja naye kwenda mahakamani, ili mshtaki wako asije akakutia mikononi mwa hakimu, naye hakimu akakutia mikononi mwa askari, nawe ukatupwa gerezani. 26Amin, nakuambia, hautatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho. 27“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Usizini.’ 28Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. 29Jicho lako la kuume likikusababisha kutenda dhambi, lingʼoe ulitupe mbali. Ni afadhali kwako kupoteza kiungo kimoja cha mwili wako kuliko mwili wako mzima ukatupwa jehanamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.