Mathayo 5:26
Matthew 5:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Amin, nakuambia, hautatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho.
Matthew 5:26 in English
Matthew 5:26 · Berean Standard Bible
Truly I tell you, you will not get out until you have paid the last penny.*
Context
24iache sadaka yako hapo mbele ya madhabahu. Enda kwanza ukapatane na ndugu yako; kisha urudi na ukatoe sadaka yako. 25“Patana na mshtaki wako upesi wakati uwapo njiani pamoja naye kwenda mahakamani, ili mshtaki wako asije akakutia mikononi mwa hakimu, naye hakimu akakutia mikononi mwa askari, nawe ukatupwa gerezani. 26Amin, nakuambia, hautatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho. 27“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Usizini.’ 28Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.