Native Bible

Matthew 5:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi Yesu alipoona makutano, alipanda mlimani akaketi chini, nao wanafunzi wake wakamjia.

Matthew 5:1 in English

Matthew 5:1 · Berean Standard Bible

When Jesus saw the crowds, He went up on the mountain and sat down. His disciples came to Him,

Context

1Basi Yesu alipoona makutano, alipanda mlimani akaketi chini, nao wanafunzi wake wakamjia. 2Ndipo akaanza kuwafundisha, akisema: 3“Heri walio maskini wa roho, maana Ufalme wa Mbinguni ni wao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.