Mathayo 4:9
Matthew 4:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kisha akamwambia, “Nitakupa hivi vyote kama ukinisujudia na kuniabudu.”
Matthew 4:9 in English
Matthew 4:9 · Berean Standard Bible
“All this I will give You,” he said, “if You will fall down and worship me.”
Context
7Yesu akamjibu, “Pia imeandikwa: ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’ ” 8Kwa mara nyingine, ibilisi akamchukua Yesu mpaka kwenye kilele cha mlima mrefu na kumwonyesha falme zote za dunia na fahari zake, 9kisha akamwambia, “Nitakupa hivi vyote kama ukinisujudia na kuniabudu.” 10Yesu akamwambia, “Ondoka mbele yangu, Shetani! Kwa maana imeandikwa, ‘Mwabudu Bwana Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake.’ ” 11Ndipo ibilisi akamwacha, nao malaika wakaja na kumhudumia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.