Native Bible

Matthew 4:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya kufunga siku arobaini usiku na mchana, hatimaye akaona njaa.

Matthew 4:2 in English

Matthew 4:2 · Berean Standard Bible

After fasting forty days and forty nights, He was hungry.

Context

1Kisha Yesu akaongozwa na Roho Mtakatifu kwenda nyikani ili akajaribiwe na ibilisi. 2Baada ya kufunga siku arobaini usiku na mchana, hatimaye akaona njaa. 3Mjaribu akamjia na kumwambia, “Ikiwa wewe ndiye Mwana wa Mungu, amuru mawe haya yawe mikate.” 4Lakini Yesu akajibu, “Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.