Native Bible

Matthew 4:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Yesu akaongozwa na Roho Mtakatifu kwenda nyikani ili akajaribiwe na ibilisi.

Matthew 4:1 in English

Matthew 4:1 · Berean Standard Bible

Then Jesus was led by the Spirit into the wilderness to be tempted by the devil.

Context

1Kisha Yesu akaongozwa na Roho Mtakatifu kwenda nyikani ili akajaribiwe na ibilisi. 2Baada ya kufunga siku arobaini usiku na mchana, hatimaye akaona njaa. 3Mjaribu akamjia na kumwambia, “Ikiwa wewe ndiye Mwana wa Mungu, amuru mawe haya yawe mikate.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.