Native Bible

Matthew 4:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akaondoka Nazareti akaenda kuishi Kapernaumu, mji ulioko karibu na bahari, katika mipaka ya nchi ya Zabuloni na Naftali,

Matthew 4:13 in English

Matthew 4:13 · Berean Standard Bible

Leaving Nazareth, He went and lived in Capernaum, which is by the sea in the region of Zebulun and Naphtali,

Context

11Ndipo ibilisi akamwacha, nao malaika wakaja na kumhudumia. 12Yesu aliposikia kwamba Yohana Mbatizaji alikuwa ametiwa gerezani, alirudi Galilaya. 13Akaondoka Nazareti akaenda kuishi Kapernaumu, mji ulioko karibu na bahari, katika mipaka ya nchi ya Zabuloni na Naftali, 14ili kutimiza unabii wa nabii Isaya, kama alivyosema: 15“Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, kwenye njia ya kuelekea baharini, ngʼambo ya Yordani, Galilaya ya watu wa Mataifa:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.