Mathayo 4:12
Matthew 4:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu aliposikia kwamba Yohana Mbatizaji alikuwa ametiwa gerezani, alirudi Galilaya.
Matthew 4:12 in English
Matthew 4:12 · Berean Standard Bible
When Jesus heard that John had been imprisoned, He withdrew to Galilee.
Context
10Yesu akamwambia, “Ondoka mbele yangu, Shetani! Kwa maana imeandikwa, ‘Mwabudu Bwana Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake.’ ” 11Ndipo ibilisi akamwacha, nao malaika wakaja na kumhudumia. 12Yesu aliposikia kwamba Yohana Mbatizaji alikuwa ametiwa gerezani, alirudi Galilaya. 13Akaondoka Nazareti akaenda kuishi Kapernaumu, mji ulioko karibu na bahari, katika mipaka ya nchi ya Zabuloni na Naftali, 14ili kutimiza unabii wa nabii Isaya, kama alivyosema:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.