Native Bible

Matthew 27:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ilipofika saa tisa, Yesu akapaza sauti akalia, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?” (maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”)

Matthew 27:46 in English

Matthew 27:46 · Berean Standard Bible

About the ninth hour Jesus cried out in a loud voice, “Eli, Eli,* lema sabachthani?” which means, “My God, My God, why have You forsaken Me?”*

Context

44Hata wale wanyangʼanyi waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana vivyo hivyo. 45Tangu saa sita hadi saa tisa giza liliifunika nchi yote. 46Ilipofika saa tisa, Yesu akapaza sauti akalia, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?” (maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”) 47Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale waliposikia hayo, wakasema, “Anamwita Eliya.” 48Ghafula mmoja wao akaenda mbio na kuleta sifongo, akaichovya kwenye siki, akaiweka kwenye mwanzi na akampa Yesu ili anywe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.