Mathayo 27:45
Matthew 27:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tangu saa sita hadi saa tisa giza liliifunika nchi yote.
Matthew 27:45 in English
Matthew 27:45 · Berean Standard Bible
From the sixth hour until the ninth hour * darkness came over all the land.
Context
43Anamwamini Mungu, basi Mungu na amwokoe sasa kama anamtaka, kwa maana alisema, ‘Mimi ni Mwana wa Mungu.’ ” 44Hata wale wanyangʼanyi waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana vivyo hivyo. 45Tangu saa sita hadi saa tisa giza liliifunika nchi yote. 46Ilipofika saa tisa, Yesu akapaza sauti akalia, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?” (maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”) 47Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale waliposikia hayo, wakasema, “Anamwita Eliya.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.