Mathayo 27:43
Matthew 27:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Anamwamini Mungu, basi Mungu na amwokoe sasa kama anamtaka, kwa maana alisema, ‘Mimi ni Mwana wa Mungu.’ ”
Matthew 27:43 in English
Matthew 27:43 · Berean Standard Bible
He trusts in God. Let God deliver Him now if He wants Him.* For He said, ‘I am the Son of God.’”
Context
41Vivyo hivyo, viongozi wa makuhani, walimu wa sheria pamoja na wazee wakamdhihaki wakisema, 42“Aliwaokoa wengine, lakini hawezi kujiokoa mwenyewe! Yeye ni Mfalme wa Israeli! Ashuke sasa kutoka msalabani, nasi tutamwamini. 43Anamwamini Mungu, basi Mungu na amwokoe sasa kama anamtaka, kwa maana alisema, ‘Mimi ni Mwana wa Mungu.’ ” 44Hata wale wanyangʼanyi waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana vivyo hivyo. 45Tangu saa sita hadi saa tisa giza liliifunika nchi yote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.