Mathayo 27:38
Matthew 27:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wanyangʼanyi wawili walisulubiwa pamoja naye, mmoja upande wake wa kuume na mwingine upande wa kushoto.
Matthew 27:38 in English
Matthew 27:38 · Berean Standard Bible
Two robbers * were crucified with Him, one on His right hand and the other on His left.
Context
36Kisha wakaketi, wakamchunga. 37Juu ya kichwa chake, kwenye msalaba, wakaandika shtaka lake hivi: Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi. 38Wanyangʼanyi wawili walisulubiwa pamoja naye, mmoja upande wake wa kuume na mwingine upande wa kushoto. 39Watu waliokuwa wakipita njiani wakamtukana huku wakitikisa vichwa vyao 40na kusema, “Wewe ambaye utalivunja Hekalu na kulijenga kwa siku tatu, jiokoe mwenyewe basi! Kama wewe ni Mwana wa Mungu, shuka kutoka msalabani.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.