Native Bible

Matthew 27:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Juu ya kichwa chake, kwenye msalaba, wakaandika shtaka lake hivi: Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi.

Matthew 27:37 in English

Matthew 27:37 · Berean Standard Bible

Above His head they posted the written charge against Him: THIS IS JESUS, THE KING OF THE JEWS.

Context

35Walipokwisha kumsulubisha wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura. [Hili lilifanyika ili litimie lile neno lililonenwa na nabii, “Waligawa nguo zangu miongoni mwao na vazi langu wakalipigia kura.”] 36Kisha wakaketi, wakamchunga. 37Juu ya kichwa chake, kwenye msalaba, wakaandika shtaka lake hivi: Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi. 38Wanyangʼanyi wawili walisulubiwa pamoja naye, mmoja upande wake wa kuume na mwingine upande wa kushoto. 39Watu waliokuwa wakipita njiani wakamtukana huku wakitikisa vichwa vyao

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.