Native Bible

Matthew 27:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha askari wa mtawala wakampeleka Yesu kwenye Praitorio* na wakakusanya kikosi kizima cha askari kumzunguka.

Matthew 27:27 in English

Matthew 27:27 · Berean Standard Bible

Then the governor’s soldiers took Jesus into the Praetorium and gathered the whole company around Him.

Context

25Watu wote wakajibu, “Damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu!” 26Basi akawafungulia Baraba. Lakini baada ya kuamuru Yesu achapwe mijeledi, akamtoa ili asulubishwe. 27Kisha askari wa mtawala wakampeleka Yesu kwenye Praitorio* na wakakusanya kikosi kizima cha askari kumzunguka. 28Wakamvua nguo zake na kumvika vazi la rangi nyekundu, kisha 29wakasokota taji ya miiba, wakaiweka kichwani pake. Wakamwekea fimbo katika mkono wake wa kuume, na wakapiga magoti mbele zake na kumdhihaki, wakisema, “Salamu, mfalme wa Wayahudi!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.