Native Bible

Matthew 27:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watu wote wakajibu, “Damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu!”

Matthew 27:25 in English

Matthew 27:25 · Berean Standard Bible

All the people answered, “His blood be on us and on our children!”

Context

23Pilato akauliza, “Kwa nini? Amefanya kosa gani?” Lakini wao wakazidi kupiga kelele, wakisema, “Msulubishe!” 24Pilato alipoona kwamba hawezi kufanya lolote, lakini badala yake ghasia zilikuwa zinaanza, akachukua maji, akanawa mikono yake mbele ya ule umati wa watu, akasema, “Sina hatia juu ya damu ya mtu huyu, hili ni jukumu lenu!” 25Watu wote wakajibu, “Damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu!” 26Basi akawafungulia Baraba. Lakini baada ya kuamuru Yesu achapwe mijeledi, akamtoa ili asulubishwe. 27Kisha askari wa mtawala wakampeleka Yesu kwenye Praitorio* na wakakusanya kikosi kizima cha askari kumzunguka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.