Native Bible

Matthew 26:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini mimi hamtakuwa nami siku zote.

Matthew 26:11 in English

Matthew 26:11 · Berean Standard Bible

The poor you will always have with you,* but you will not always have Me.

Context

9Manukato haya yangeuzwa kwa bei kubwa, na fedha hizo wakapewa maskini.” 10Yesu, akijua jambo hili, akawaambia, “Mbona mnamsumbua huyu mwanamke? Yeye amenitendea jambo zuri sana. 11Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini mimi hamtakuwa nami siku zote. 12Alipomiminia haya manukato kwenye mwili wangu, amefanya hivyo ili kuniandaa kwa ajili ya maziko yangu. 13Amin, nawaambia, mahali popote ulimwenguni ambapo hii Injili itahubiriwa, jambo hili alilolitenda huyu mwanamke litatajwa pia kwa ukumbusho wake.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.