Native Bible

Matthew 26:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Manukato haya yangeuzwa kwa bei kubwa, na fedha hizo wakapewa maskini.”

Matthew 26:9 in English

Matthew 26:9 · Berean Standard Bible

This perfume could have been sold at a high price, and the money given to the poor.”

Context

7naye mwanamke mmoja akamjia akiwa na chupa ya marhamu yenye manukato ya thamani kubwa; akayamimina kichwani mwa Yesu alipokuwa ameketi mezani kula chakula. 8Lakini wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika, wakasema, “Upotevu huu wote ni wa nini? 9Manukato haya yangeuzwa kwa bei kubwa, na fedha hizo wakapewa maskini.” 10Yesu, akijua jambo hili, akawaambia, “Mbona mnamsumbua huyu mwanamke? Yeye amenitendea jambo zuri sana. 11Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini mimi hamtakuwa nami siku zote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.