Native Bible

Matthew 24:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ombeni ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi au siku ya Sabato.

Matthew 24:20 in English

Matthew 24:20 · Berean Standard Bible

Pray that your flight will not occur in the winter or on the Sabbath.

Context

18Aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua vazi lake. 19Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo! 20Ombeni ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi au siku ya Sabato. 21Kwa maana wakati huo kutakuwa na dhiki kuu ambayo haijapata kuwako tangu mwanzo wa dunia mpaka sasa: wala haitakuwako tena kamwe. 22Kama siku hizo zisingefupishwa, hakuna hata mtu mmoja ambaye angeokoka. Lakini kwa ajili ya wateule, siku hizo zitafupizwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.