Mathayo 24:19
Matthew 24:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo!
Matthew 24:19 in English
Matthew 24:19 · Berean Standard Bible
How miserable those days will be for pregnant and nursing mothers!
Context
17Yeyote aliye juu ya dari ya nyumba asishuke ili kuchukua chochote kutoka ndani ya nyumba. 18Aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua vazi lake. 19Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo! 20Ombeni ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi au siku ya Sabato. 21Kwa maana wakati huo kutakuwa na dhiki kuu ambayo haijapata kuwako tangu mwanzo wa dunia mpaka sasa: wala haitakuwako tena kamwe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.