Mathayo 24:18
Matthew 24:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua vazi lake.
Matthew 24:18 in English
Matthew 24:18 · Berean Standard Bible
And let no one in the field return for his cloak.
Context
16basi wale walioko Uyahudi wakimbilie milimani. 17Yeyote aliye juu ya dari ya nyumba asishuke ili kuchukua chochote kutoka ndani ya nyumba. 18Aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua vazi lake. 19Ole wao wenye mimba na wale wanaonyonyesha watoto siku hizo! 20Ombeni ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi au siku ya Sabato.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.