Native Bible

Matthew 23:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana nawaambia, hamtaniona tena tangu sasa mpaka mtakaposema, ‘Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana.’ ”

Matthew 23:39 in English

Matthew 23:39 · Berean Standard Bible

For I tell you that you will not see Me again until you say, ‘Blessed is He who comes in the name of the Lord.’*”

Context

37“Ee Yerusalemu, Yerusalemu, uwauaye manabii na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwako! Mara ngapi nimetamani kuwakusanya watoto wako pamoja, kama vile kuku akusanyavyo vifaranga wake chini ya mabawa yake, lakini hukutaka! 38Tazama nyumba yenu imeachwa ukiwa. 39Kwa maana nawaambia, hamtaniona tena tangu sasa mpaka mtakaposema, ‘Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.