Native Bible

Matthew 23:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tazama nyumba yenu imeachwa ukiwa.

Matthew 23:38 in English

Matthew 23:38 · Berean Standard Bible

Look, your house is left to you desolate.*

Context

36Amin, nawaambia, haya yote yatakuja juu ya kizazi hiki. 37“Ee Yerusalemu, Yerusalemu, uwauaye manabii na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwako! Mara ngapi nimetamani kuwakusanya watoto wako pamoja, kama vile kuku akusanyavyo vifaranga wake chini ya mabawa yake, lakini hukutaka! 38Tazama nyumba yenu imeachwa ukiwa. 39Kwa maana nawaambia, hamtaniona tena tangu sasa mpaka mtakaposema, ‘Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.