Native Bible

Matthew 19:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akamjibu, “Mbona unaniuliza habari ya mema? Aliye mwema ni Mmoja tu. Lakini ukitaka kuingia uzimani, zitii amri.”

Matthew 19:17 in English

Matthew 19:17 · Berean Standard Bible

“Why do you ask Me about what is good?”* Jesus replied. “There is only One who is good. If you want to enter life, keep the commandments.”

Context

15Naye akaweka mikono yake juu yao, na akaondoka huko. 16Mtu mmoja akamjia Yesu na kumuuliza, “Mwalimu mwema, nifanye jambo gani jema ili nipate uzima wa milele?” 17Yesu akamjibu, “Mbona unaniuliza habari ya mema? Aliye mwema ni Mmoja tu. Lakini ukitaka kuingia uzimani, zitii amri.” 18Yule mtu akamuuliza, “Amri zipi?” Yesu akamjibu, “Usiue, usizini, usiibe, usishuhudie uongo, 19waheshimu baba yako na mama yako, na umpende jirani yako kama nafsi yako.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.