Native Bible

Matthew 18:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati huo, wanafunzi wakamjia Yesu na kumuuliza, “Je, nani aliye mkuu kuliko wote katika Ufalme wa Mbinguni?”

Matthew 18:1 in English

Matthew 18:1 · Berean Standard Bible

At that time the disciples came to Jesus and asked, “Who then is the greatest in the kingdom of heaven?”

Context

1Wakati huo, wanafunzi wakamjia Yesu na kumuuliza, “Je, nani aliye mkuu kuliko wote katika Ufalme wa Mbinguni?” 2Yesu akamwita mtoto mdogo na kumsimamisha katikati yao. 3Naye akasema: “Amin, nawaambia, msipookoka na kuwa kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika Ufalme wa Mbinguni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.