Mathayo 18:2
Matthew 18:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akamwita mtoto mdogo na kumsimamisha katikati yao.
Matthew 18:2 in English
Matthew 18:2 · Berean Standard Bible
Jesus invited a little child to stand among them.
Context
1Wakati huo, wanafunzi wakamjia Yesu na kumuuliza, “Je, nani aliye mkuu kuliko wote katika Ufalme wa Mbinguni?” 2Yesu akamwita mtoto mdogo na kumsimamisha katikati yao. 3Naye akasema: “Amin, nawaambia, msipookoka na kuwa kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika Ufalme wa Mbinguni. 4Kwa hiyo mtu yeyote anyenyekeaye kama huyu mtoto, ndiye aliye mkuu kuliko wote katika Ufalme wa Mbinguni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.