Native Bible

Matthew 17:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walipoinua macho yao, hawakumwona mtu mwingine yeyote isipokuwa Yesu.

Matthew 17:8 in English

Matthew 17:8 · Berean Standard Bible

And when they looked up, they saw no one except Jesus.

Context

6Wanafunzi waliposikia haya, wakaanguka chini kifudifudi, wakajawa na hofu. 7Lakini Yesu akaja na kuwagusa, akawaambia, “Inukeni na wala msiogope.” 8Walipoinua macho yao, hawakumwona mtu mwingine yeyote isipokuwa Yesu. 9Walipokuwa wakishuka kutoka mlimani, Yesu akawaagiza, “Msimwambie mtu yeyote mambo mliyoyaona hapa, mpaka Mwana wa Adamu atakapofufuliwa kutoka kwa wafu.” 10Wale wanafunzi wakamuuliza, “Kwa nini basi walimu wa sheria husema kwamba ni lazima Eliya aje kwanza?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.