Mathayo 16:18
Matthew 16:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya Kuzimu hayataweza kulishinda.
Matthew 16:18 in English
Matthew 16:18 · Berean Standard Bible
And I tell you that you are Peter, and on this rock I will build My church, and the gates of Hades will not prevail against it.
Context
16Simoni Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo,* Mwana wa Mungu aliye hai.” 17Naye Yesu akamwambia, “Heri wewe, Simoni Bar-Yona,* kwa maana hili halikufunuliwa kwako na mwanadamu, bali na Baba yangu aliye mbinguni. 18Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya Kuzimu hayataweza kulishinda. 19Nitakupa funguo za Ufalme wa mbinguni, na lolote utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa Mbinguni, nalo lolote utakalofungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni.” 20Kisha akawakataza wanafunzi wake wasimwambie mtu yeyote kwamba yeye ndiye Kristo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.