Native Bible

Matthew 16:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Naye Yesu akamwambia, “Heri wewe, Simoni Bar-Yona,* kwa maana hili halikufunuliwa kwako na mwanadamu, bali na Baba yangu aliye mbinguni.

Matthew 16:17 in English

Matthew 16:17 · Berean Standard Bible

Jesus replied, “Blessed are you, Simon son of Jonah!* For this was not revealed to you by flesh and blood, but by My Father in heaven.

Context

15Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?” 16Simoni Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo,* Mwana wa Mungu aliye hai.” 17Naye Yesu akamwambia, “Heri wewe, Simoni Bar-Yona,* kwa maana hili halikufunuliwa kwako na mwanadamu, bali na Baba yangu aliye mbinguni. 18Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya Kuzimu hayataweza kulishinda. 19Nitakupa funguo za Ufalme wa mbinguni, na lolote utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa Mbinguni, nalo lolote utakalofungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.